PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BOSI UNAKOSEAKOSEA MAHESABU KILA MWEZI

MWAJIRIWA:Bosi mbona mshahara mwezi huu una hela pungufu
BOSI:Kweli? umepunjwa shilingi ngapi?
MWAJIRIWA: Bosi mshahara pungufu kwa shilingi alfu hamsini
BOSI:Mwezi uliopita nilikosea nikakuongeza shilingi alfu hamsini mbona hukulalamika?
MWAJIRIWA:Ulipokosea nikaona hii ni mara ya kwanza nikaona nikusamehe, lakini sasa naona nikemee maana inakuwa tabia yako kukosea mahesabu kila mwezi

Comments