PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Blackberry yako aina gani?

Mau: Shosti nimenunua Black berry
Mele: Nipe pin yako
Mau: Sina pini hapa
Mele: Pin ya Blackberry
Mau: Ahaaa nimeacha nyumbani unajua sio vizuri kutembea nayo inaweza ikapotea.
Mele: Hee haya
Mau: We Blackberry yako Nokia au Samsung?
Mele: Sony Erickson

Comments