PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Babu nilipie...


Binti mzuri kaingia duka liinalouza vitambaa akaona kitambaa kizuri;
BINTI: Kitambaa hiki shilingi ngapi?
MUUZAJI:Bei yake ni busu moja kwa mita
BINTI: Nipe mita kumi. Jamaa haraka akakata kitambaa huku akijua leo kapata mrembo wa ghafla. Binti akachukua kitambaa akaweka kwenye begi, kisha akamuita Babu yake waliyekuwa wamesindikizana
BINTI: Babu nilipie

Comments