PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Baba rudia tena


Dah jamaa mmoja alipita mbele ya nyumba yangu mkononi amebeba mtoto, kutokana na mvua za jana kuna madimbwi hapa, jamaa amejaribu kuruka dimbwi moja bahati mbaya kateleza na kuishia mzima mzima kwenye dimbwi, nimemsifu sana alivyojitahidi mtoto asiumie, ila yeye mwenyewe tope tupu na anachechemea. Mtoto ndio amefanya wengi tuliokuwepo hapo tukimbie tukachekee pembeni maana mtoto kang'ang'ania, 'Baba baba rudia tena'

Comments