HATUPIMI BANDO

22 August 2012

Baba mtu stupid ndio yukoje?

DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a very good kweshen kwa kweli I am praud of you, you see mwanangu, mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa just a simpo kweshen, yaani swali dogo sana basi huanza kulinyumbulisha na kuongeza mofimu na fonimu katika hilo swali, kuanza kutafuta, tena infact bila mantiki yoyote basis ya swali,na baada ya hapo kufanya mchanganuo na hati mae kukam up na solushenz ambazo in prinsipo hazikuweko katika swali husika kiasi cha kwamba aliyeuliza swali anakuwa haelewi hata kitu, umeelewa
DOGO: Hapana

1 comment:

Anonymous said...

Kwa hiyo in short hata baba ni stupidp pia! Hahaahaahaha!