HATUPIMI BANDO

21 August 2012

Angekuwa na njaa ningekuwa nimeshaliwa


Sungura na Simba waliingia hotelini. Weita akaja kuwasikiliza,
SUNGURA: Nipe majani kidogo na karoti nyingi pembeni
WEITA: Vipi rafiki yako?
SUNGURA: Hali kitu
WEITA: Vipi hana njaa?
SUNGURA: We fala nini angekuwa ana njaa mi siningekuwa marehemu tayari

No comments: