HATUPIMI BANDO

27 August 2012

AFANDE UMEKULA KUNGU?

Jamaa kakamatwa na trafiki akikimbiza gari
TRAFIKI: Wewe kwanini unakimbiza gari hivi? Halafu naona umevuta bangi angalia macho yalivyo mekundu
JAMAA: Mbona wewe macho umerembua, umekula kungu?

No comments: