PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

3 x 3=33


KONDA: Denti achieni viti sogeeni nyuma, halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu elimu sifuri, enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani
DENTI: Acha matusi tunasoma na tunaelewa sana
KONDA:Kama unaelewa nambie 3x3 ngapi?
DENTI: 33
KONDA: Huna lolote umebahatisha au atakuwa kakutajia mwenzio huko nyuma

Comments