PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Yule shemeji yangu


Mwanamke mmoja alifiwa na mumewe na baada ya muda mfupi akaolewa na shemeji yake. Picha za mumewe zilikuwa bado zimetundikwa ukutani kwenye sebule yake, wageni wakifika wakimuuliza yule ndio mumeo, alikuwa anajibu hapana, yule shemeji yangu amefariki muda si mrefu sana.

Comments