PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

We ndo wa kwanza kukufanyia operesheni

Dokta kaingia chumba cha mgonjwa anaesubiri kwenda kufanyiwa operesheni,
DOKTA: Vipi mbona unaonekana unaogopa sana?
MGONJWA: Kwa kweli sina raha hii ndio operesheni yangu ya  kwanza, naogopa sana
DOKTA: Usiogope bwana, mi ndio ntake kufanyia hiyo operesheni.
MGONJWA: Loh nashukuru, umeshawahi kufanya operesheni kama hii?
DOKTA: Hapana leo ndio mara yangu ya kwanza kumpasua mtu, lakini usihofu, chuoni nilikuwa napasi sana mitihani

Comments