HATUPIMI BANDO

26 July 2012

Wadada lini mtaanza tabia za akina Jlo na Lopez?

Kutokana na wadada wa kwetu kuiga mengi kutoka kwa akina Kim Kardashian, Beyonce, J lopez, wengine kujiita majina yao na hata kutamka hadharani kuwa hao ndio' role models' wao, na kutokana na matukio kama yale ya Kim Kardashian kumnunulia boifrend wake Kanye West nyumba ya  $800,000, na Beyonce kumnunulia Jay Z boti ya  $2,000,000, na Jlo kumnunulia boifrend wake wa zamani nyumba ya  $1,500,000, je , ni lini wataanza kuiga tabia hii njema na kuacha kununulia boyfrend wao boxer, soksi na pafyumu zilizojazwa Kariakoo? Nawasilisaha hoja

No comments: