PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Vipimo vya miwani ya kusomea bureeee

Kuanzia August 6-10 Love Tanzania Festival (Tamasha la Ipende Tanzania) litatoa huduma 4 za bure za vipimo vya miwani za kusomea. Tafadhali tusaidie kufikisha taarifa kwa watu wanao toka jirani na maeneo yafuatayo. Huduma hizi zitatolewa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka kumi jioni kila siku. Waganga wataalamu wakujitolea watakuwa wakitoa huduma hizo. Ni wakati wa kuipend Tanzania!
1. TAG Church Mbagala
2. Baptist Mission Church - Magomeni
3. Lutheran Church - Vinguguti
4. St. Nicholas Anglican Church - Ilala Amana.

Comments