PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Vaa upesi kaite ambulensiJamaa karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akapiga ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe akitetemeka;
JAMAA: We vipi?
MKE: Presha imepanda.
Jamaa akakimbia sebuleni ili apige simu ambulensi ije wakati anahangaika kutafuta namba ya simu, mwanae akaja;
MWANA: Baba anko yuko uchi kwenye kabati chumbani.  Jamaa akatupa simu na kurudi chumbani alipofungua mlango wa kabati kamkuta mdogo wake kabatini bila nguo.
JAMAA: Na wewe vipi unazubaazubaa bila nguo wakati mke wangu ameshikwa na presha. Vaa upesi kaite ambulance

Comments