HATUPIMI BANDO

25 July 2012

Una mende ndani ya kifuani


Jamaa aliendaa kupigwa Xray ya kifua, majibu yakarudi ikaonekana ana mende kifuani na lazima afanyiwe operesheni haraka kuokoa maisha yake. Dakika za mwisho ndugu zake wakaamua aende kupimwa katika hospitali nyingine, si ikagunduliwa kuwa jamaa mzima, ila  mende alikuwa katika mashine ya Xray ya hospitali ya kwanza

No comments: