HATUPIMI BANDO

3 July 2012

Una bahati sana nimekula pilau leoi

Jamaa alikaa kiti mbele ya mlevi mmoja aliyekuwa anaongea maneno mengi safari nzima.  Ghafla gari lilipanda tuta, mlevi ile kushtuka akatapika akamtapikia jamaa aliye kaa mbele yake;
MLEVI: Aise una bahati sana nimekula pilau leo. Nimekutapikia yote.

No comments: