HATUPIMI BANDO

4 July 2012

Umewahi kupigwa shuleni?

Asilimia kubwa yetu tumewahi kupigana shuleni, asilimia fulani wamewahi kupewa kipigo cha mbwa mwizi shuleni, utamu zaidi ulikuwa pale mtu anayejifanya mjanja akatandikwa vizuri. Yaliwahi kukukuta?

No comments: