HATUPIMI BANDO

25 July 2012

Trafiki

Trafiki kamsimamisha dereva aliyekuwa anayumba barabarani na gari lake kwa ulevi.
TRAFIKI: Mzee naomba leseni yako
MLEVI: Haya ndio mambo wananchi tunayolalamika, jeshi la polishi halijui hata kazi yake, we si ulininyang'anya leseni jana, sasa unaomba tena, how come? Hebu nipe namba yako, I will talk with Kova akupeleke mkoani

No comments: