HATUPIMI BANDO

21 July 2012

Swali unadhani kimetokea nini????


Chumba cha pili wanagombana mtu na mkewe. Kisha unasikia;
MUME: Shenzi wewe (puu) , huna akili(puu,puu,puu) ni wazi mwanamke anasindiliwa ngumi.
MKE: Uuuuuuuuuuuuh mume wangu unaniua
MUME: Kufa(puu), kufa shenzi we (puu)
MKE: Baba nisamehe kumbukua mimi mjamzito, muogope Mungu
MUME: Kwanza mimba si yangu (puu), Malaya mkubwa (puu). Ghafla kunatokea kimyaaaaaaa, mke halii wala mume haongei na ngumi zimesimama.
MUME: We Malaya ntakuua, nasema ntakuua………(kimya)
MUME: Nakwambia niache……….(kimya)
MUME: Aise ntakufanya kitu mbaya sana niachie (kimya)
MUME: (Kwa upole) Unajua unaniumiza mwenzio (kimya)
MUME: Aise niache bwana (kimya)
MUME: Please niache, naomba uniache…
SWALI UNADHANI KIMEMTOKEA NINI JAMAA MPAKA KAWA MPOLE?


1 comment:

Anonymous said...

jamaa kashikwa pabaya