PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Sina mimi sina

MKAKA: Nakupenda naomba nikuoe
MDADA: Unanyumba
MKAKA: Sina lakini...
MDADA:Una BMW?
MKAKA:Sina LAkini...
MDADA:Mshahara wako shilingi ngapi?
MKAKA: Sina lakini....
MDADA: Hebu tambaa, kila kitu huna.
MKAKA: Poa naondoka, lakini sina nyumba nina bungalow, sina BMW nina Range Rover Vogue, sina mshara nina kampuni kadhaa
MDADA: Ehh

Comments