HATUPIMI BANDO

19 July 2012

Simu za wajanja

Wajanja huwa wanafuta karibu kila kitu kwenye simu zao, incoming calls, outgoing calls, inbox, outbox, na contact kwenye simu huwa, ni Fundi Bomba, Baba mdogo, Anko, Shangazi, Bosi, Mhasibu, Msumbufu 1, Msumbufu 2, Msumbufu 3. mwanamuziki Njenje, Mzee Kitime, Masanja Mgandamizaji, Joti Mkubwa, Joti Mdogo, Na kuziwekea paswedi 4, passwedi moja ya simu, moja ya message, moja ya folder

No comments: