PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Samahani usafiri mpaka Temeke Alfu 50

Jamaa kapata kimwana Temeke, ili am impress akaendesha gari lake hadi Kunduchi wakakaa kando ya bahari mahaba mazito yalifuatiwa na unywaji hatimae kulala, kabla ya kulala mdada akasema;
MDADA: Samahani najua utakasirika lakini lazima niseme, mi niko kazini ukitaka nilale hapa ni shilingi alfu 20 mpaka asubuhi.
MKAKA: Dah  haya powa akalipa kitwenti wakalala....asubuhi wakaoga vizuri wakatoka nje kwenye gari mdada akapanda jamaa kabla hajawasha gari akakohoa kidogo kisha akamwambia mdada;
MKAKA: Samahani najua utakasirika lakini lazima niseme, mi taxi dreva niko kazini, ukitaka usafiri mpaka Temeke ni shilingi alfu 50

Comments