HATUPIMI BANDO

2 July 2012

Safari hii sijakudanganya mume wangu

Familia moja alikuwa na watoto wawili mabinti wazuri sana, lakini mzee alikuwa anataka sana awe na mtoto wa kiume. Mungu akawabariki mke akapata mimba, na kisha akajifungua mtoto wa kiume , lakini mtoto alikuwa na sura mbaya sana.
MBABA: Aise mi sidhani kuwa mtoto huyu ni wangu naona unanidanganya
MMAMA: Kweli mume wangu mtoto huyu ni wako safari hii sijakudanganya

No comments: