PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Ratiba ya Vodacom kutoa tuzo kwa Mablogger Bora imeahirishwa kufuatia ajali ya meli huko Zazibar.Hafla ya kutoa tuzo  maalum kwa Mabloggers Bora iliyokuwa ifanyike Serena Hoteli leo kati ya saa 11 na saa 2 usiku ililazimika kuaahirishwa baada ya taarifa za ajali ya meli kuwafikia watayarishaji ambao ni VODACOM. Bloggers mbalimbali walikaribishwa na kupata picha za pamoja kabla ya taarifa ya ajali kuwafikia na kusababisha shughuli nzima iahirishwe

Comments

Tamiha said…
at least they did it right this time!...unlike that Miss tanzania crap they pulled last time!