HATUPIMI BANDO

14 July 2012

Pilau la msiba wako

Jamaa alikuwa kitandani hoi kwa maradhi muda mrefu, siku hiyo akasikia harufu ya bonge la pilau. Kwa kuwa hata kauli alikuwa kakata akatambaa toka kitandani hadi jikoni alipotaka kuchota pilau mkewe akamkemea,' We acha hiyo ni pilau, ya watakao kuja kwenye msiba wako'

No comments: