HATUPIMI BANDO

6 July 2012

Ok sweety miss you

Jamaa alikuwa na mke wa rafiki yake gest, ghafla simu ya mdada ikaita.
MDADA: Haloo , ok, sawa, alaaaa , ok have a nice time jamani msalimie mwambie na mimi mnitoe out siku moja. Ok sweety, miss you.
JAMAA:Nani huyo?
MDADA:Mume wangu huyo, ananambia yuko na wewe Morogoro mmeamua kulala huko leo.

No comments: