HATUPIMI BANDO

15 July 2012

Nyie masupastaa hamnaga aibu

Msupastaa alikuwa anapita madukani akiangalia vitu, akaiona suruali nzuri kwenye dirisha la duka moja akaingia;
MSUPASTAA: mambo dada?
MUUZADUKA
: Heee jamani, leo na bahati nimekuona laiv, karibu dada nikusaidie nini?
MSUPASTAA: Samahani naweza kujaribu ile suruali pale dirishani
MUUZADUKA: Dah najua nyie masupastaa ndio zenu hamuonagi aibu, lakini bosi hawezi kuruhusu ujaribie pale dirishani, italazimika ukajaribie kwenye kichumba huko ndani kama watu wengine.

No comments: