HATUPIMI BANDO

27 July 2012

Nje hakuna kizulia

Jamaa kaenda kwenye intavyuu kwenye kampuni moja;
BOSI: Kampuni yetu ina mihili mikuu miwili, wa kwanza ni usafi. Sasa je, ulipokuwa unaingia humu ndani ulikung'uta miguu kwenye kazulia hapo nje?
JAMAA: Ndio mzee
BOSI: Muhimili wa pili ni ukweli, hapo nje hakuna kizulia

No comments: