PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Nampa talaka mke wangu


Jamaa wawili walikutana kaunta ya baa wakaanza mazungumzo.
Jamaa 1: Nataka kumpa talaka mke wangu
Jamaa 2: Nini tena?
Jamaa 1: Mke wangu jana hakulala nyumbani
Jamaa 2: Ohoo alikuwa wapi?
Jamaa 1: Eti kanambia alilala kwa dada yake.
Jamaa 2: Kumbe siyo tatizo kubwa hivyo
Jamaa 1: Ni tatizo kubwa maana jana mi nimelaa na dada yake

Comments