HATUPIMI BANDO

18 July 2012

Mie na miaka mia mbili tu


Babu mwingine kaibuka huko Iringa, yeye anatoa dozi ya kukufanya usizeeke. Na ametangaza kuwa yeye mwenyewe ana miaka mia tatu. Waandishi wetu wenye busara waliona wamuhoji msaidizi wake mmoja ili kupata ukweli kuhusu dawa za babu huyu;
Mwandishi: Ndugu msaidizi unaitwa nani?
Msaidizi: Naitwa Ndundami
Mwandishi: Je, ni kweli huyu babu ana miaka mia tatu?
Msaidizi: Kiukweli sina uhakika, maana mi nimefanya kazi kwake kwa miaka mia mbili tu

No comments: