PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mie mgeni huku

PITA: Ule ni mwezi
DEVI: Aaa wapi nyota ile
PITA:Mwezi
DEVI: Nyota
PITA: Ngoja tumuulize yule mzee pale. Mzee samahani, ule mwezi au nyota?
MZEE: Mhhhh ngumu mimi kusema maana na mie mgeni maeneo haya.

Comments