HATUPIMI BANDO

14 July 2012

Message sent.................... uwiiii


Netwek ya kampuni flani bomu kweli jamaa alikuwa anachat  kwa txt na mpenzi wake
Binti; Hi Babes
Jamaa: Hi luv (msg sending failed)
Binti: Vipi upo
Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
Binti: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
Jamaa:Mbona nakujibu (msg sending failed)
Binti: Mi naona unadharau sana. Mi nimechoka staki tena
Jamaa: Pumbavu mkubwa kwenda zako(Msg sent)

No comments: