HATUPIMI BANDO

22 July 2012

Mama mwanao kavunja rekodi


Mkuu wa Mkoa: mama mi ni mkuu wa mkoa, nimekuja kuongea kuhusu mwanao
Mama: Kuna nini tena baba?
Mkuu wa Mkoa: Si unajua mwanao alienda na wenzie Uingereza?
Mama
: Nilikuwa sijui baba
Mkuu wa mkoa: Basi mwanao ameenda huko na amevunja rekodi ya mbio za mita 100
Mama: Mungu wangu Mungu wangu, huyu mtoto, toka mdogo kazi yake kuvunja vitu, kavunja vyungu vyangu vyote hata kwa majirani nako kavunja sana, Baba naomba serikali  inisaidie kulipa mimi sina uwezo wa kulipa chochote, kama mnavyoona mi mjane

No comments: