PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

mama Devi njoo ung'oe jino


YUSI: Aise dokta nyie mnapenda sana hela mi nataka ung'oe jino bila kuleta vimbwanga vyenu, mnavyofanya kusudi tu ya kupata hela.
DOKTA: We unatakaje?
YUSI: Hivi kung'oa tu bila ganzi wala nini, itakuwa shilingi ngapi?
DOKTA: Mia tatu tu, japo si ungejitahidi uongeze alfu mbili mia tatu ung'oe na ganzi?
YUSI: Hapana  fanya hiyo ya mia tatu.
DOKTA : Dah haya kaa hapo kwenye kiti
YUSI: Hapana sio mimi, ni mke wangu. Mama Devi njoo upate matibabu

Comments