HATUPIMI BANDO

6 July 2012

Kwani kwako kuna vita shosti?

Mama mmoja mbeya alikuwa akimuona Mchungaji anaingia kwenye nyumba ya jirani yake kila siku, akashindwa kujizuia akamfwata mwenzie; 
Mama Udaku: Jirani mambo? 
Jirani: Poa 
Mama Udaku: Jirani kila siku namuona mchungaji anaingia kwako vipi anakuja kukuombea? 
Jirani: Shoga tafadhali achana na mimi. Kwako kila siku kuna Mwanajeshi anaingia, kuna vita kwako? Nijibu, Kwako kuna vita?

No comments: