PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Kafa kwa staili ya Kalvari

Mzee mmoja tajiri alijuwa karibu anakufa, akamuita Meneja Mkuu wa kampuni yake na Mhasibu Mkuu wa kampuni yake. Walipofika hospitali akamuomba Mhasibu asimame upande wake wa kulia na Meneja upande wake wa kushoto, akawaambia sasa yuko tayari kufa.
MENEJA: Kwanini umetupanga hivi?
MZEE: Hata Yesu wakati anakufa alikuwa na mwizi mmoja na kushoto na mwingine kulia.

Comments