PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

Kabila la wabishi kuliko yote Tanzania

Naambiwa kuna kabila wabishi hao, wanaweza kubishana hata na redio. Wakati wa enzi za Taifa Cup ambapo mechi zilikuwa ni kati ya mikoa, mechi iliyochezwa mkoani kwao ilivunjwa baada ya kukataa goli lililofungwa kwa kichwa ,wapenzi wakianzisha ubishi kuwa hawakukubaliana kabla ya mchezo kuwa watakuwa wanafunga kwa vichwa.
Nafanya utafiti ni kabila gani bishi hivi? je bado liko? je kabila hili katika enzi hizi za google haiwezekani kulitengenezea web yao wabishane na google? nawasilisha hoja.

Comments