PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Jana nilikuwa katika onyesho la Evans Bukuku

Jana nilikuwa katika onyesho tamu la Evans Bukuku, vichekesho kwa kwenda mbele mpaka dakika ya mwisho
Karola Kinasha alikuwa ndiye MC wa shughuli

Anwaar alihakikisha video ya shughuli inapatikana na kurushwa on-line na UHURU ONE

Kuchekesha raha dah na mimi wacha nianze nipate mafao kama haya
Teh teh teh teh

Evans hatimae alitoa zawadi, mshindi wa kwanza alipata kamba ya viatu mpya kabisa teh teh teh

Mwe we Evans

Mshindi mwingine alipata nyoka mpya kabisaaaa

Bila hawa mambo yangekwama
Evans na my wife wake

Hatimae krooooo krooooo kroooo-----The End
.

Comments