HATUPIMI BANDO

12 July 2012

Huwa nachungulia kwanza

Hauzboi kaingia chumba cha mama mwenye nyumba bila kugonga;
MAMA: We mjinga ndio adabu gani kuingia bila kugonga, ungekuta niko uchi?
HAUSBOI: Huwa nachungulia kwanza?

No comments: