PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Hiyo Kisusio Bar iko wapi?


Jamaa kaingia kituo cha polisi amevimba kwa hasira,
Jamaa: Afande nisaidieni ntamuua mke wangu
Afande: Tulia bwana kwani vipi?
Jamaa: Mke wangu hafai, kila siku anakwenda Kisusio Bar analewa halafu anachukuliwa hovyo na mtu yoyote.
Afande: Alaaa, okay sasa ili tupate ushahidi, hiyo Kisusio Bar iko wapi?

Comments