PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Happy Birthday cheka na kitime.blogspot

Toka kushoto Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Vodacom Bi Joseline Kamuhanda, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa, na mwendeshaji wa blog hii John Kitimeakipokea cheti cha tuzo la Vodacom.
Leo Blog hii imetimiza mwezi mmoja, tena kwa kuwa na heshima kubwa ya kuwa imeweza kuchekesha watembeleaji zaidi ya 30,000. Tuongezeke kucheka ndio raha iliyobaki kabla mafisadi hawajaingia kunyanganya hata hicho, pia siku ya leo blog ya historia ya muziki wa dansi inayoendeshwa na John Kitime imekuwa moja ya blog kumi ambazo zimepata Tuzo la Vodacom la umahiri katika dijitali. Karibuni www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com

Comments

elimkamba@gmail.com said…
hongera sana mzee Kitime, your blog ndo huwa ina-make my day each day i browse, yaani kila siku naongeza maisha na kupunguza stress kwa kucheka through your blog..HONGERA SANA NA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU Uendelee kutupa RUUBUDANII a.k.a BURUDANII...
Anonymous said…
hongera sana uncle JFK kwa kiburudisho hiki maana kuna saidia kueli misha hata kupunguza stress za maisha