PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Habari za asubuhi superman

Jamaa karudi alfajiri nyumbani kwake kamkuta mkewe kisha amka anajitayarisha kwenda kazini;
JAMAA: Za asubuhii mamaaa
MKE: Nzuri tu superman
JAMAA: Samahani nilipata pancha nikashindwa kuacha gari wangeiba vitu
MKE: Ahha sawa Superman
JAMAA: We vipi mbona umeng'ang'ania kuniita superman
MKE: Ni superman tu huwa anavaa suruali ndani chupi nje, au hujajiona?

Comments