HATUPIMI BANDO

12 July 2012

Fungasha ondoka

Mdada mmoja karudi home speed na gari yake, kapaki na kuingia fosi nyumbani kwa kwake;
MKE: Mume wangu fungasha sanduku, nimeshinda milioni 100 kwenye bahati nasibu
MUME: Kwani tunaenda wapi? Nichukue nguo za siku ngapi?
MKE: Acha kelele, we fungasha sanduku lako ondoka humu ndani

No comments: