PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Foleni imeanzia Mbagala

Jamaa alikuwa anatafuta kazi akakuta tangazo la kazi ya msaidizi wa daktari wa akinamama. Haraka akaenda kuulizia ile kazi na akamkuta mhudumu wa daktari
MHUDUMU: Kazi ipo, utakachokuwa unafanya ni kuwatayarisha wagonjwa ambao ni akina mama ili wamuone Daktari, hivyo, utawasaidia kuvua nguo, na kuwalaza kwenye kitanda mpaka daktari afike, mara nyingine ni kuwa masaj ili wawe tayari kwa matibabu. Kama unaitaka kazi hii, italazimika uende Mbagala
JAMAA: Hospitali iko Mbagala?
MUHUDUMU: Hapana huko ndio foleni ya wanaoitaka kazi hii ilikoanzia

Comments