PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Dokta umenikanyaga?

DAKTARI WA MENO: We vipi hata jino lenyewe sijaligusa unalia eti maumivu, hebu nyamaza
MGONJWA: Dokta umenikanyaga mguu
DAKTARI WA MENO: Dah samahani

Comments