PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Bwana nisaidie nipate mume

Kwenye maombi;
MDADA: E Bwana  nisaidie nipate mume lakini ,vunja vunja nguvu zote zitakazosababisha nipate mume mfupi, tengua mipango yote ya kuniletea mume mfupi....Jirani kulikuwa na bwana mfupi sana nae anaomba.
FUPI: E Bwana asante kwa kunifanya bilionea asante sana Bwana sasa naomba mke, naomba mwenza wa kutumia nae mali uliyonipa
MDADA: Bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai nachagua hata huyu jirani atanifaa tu, asante sana

Comments