HATUPIMI BANDO

24 July 2012

Barua ya mama


Ngriiii Ngriiiii
Binti: Hello baba,
Baba: Sema binti yangu, nini tena simu saa hizi?
Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani, nimeamua kutoroka nikaolewe nae.
Baba: Pumbafu kweli wewe unadhani ntashtuka? Safari njema na nisikuone tena sura yako.
Binti: Samahani baba, nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama,
Baba: Umesema????????

No comments: