PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Baba yuko chini ya magunia

Jamaa alikuwa anapita kijijini akakuta ajali, akakuta Trekta lililokuwa limepakia magunia ya mahindi lilikuwa limepinduka na kuna kijana alikuwa anajaribu kuyasogeza magunia kutoka katikati ya barabara, akiwa amechoka kabisa
JAMAA: Pole bwana, si ungepumzika kidogo
KIJANA: Hapana baba hawezi kufurahi
JAMAA: Huyo baba yako pia ni binadamu, hebu pumzika unywe maji kijodo
KIJANA: Baba hawezi kufurahi
JAMAA: acha hizo huyo baba yako kwani anadhani we mtumwa? Hebu yuko wapi nizungumze nae
KIJANA: Yuko chini ya magunia.

Comments