PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Amka kawahi mgao.....


Ilikuwa ni wakati wa enzi za Mwalimu wakati kulikuwa na mgao wa karibu kila kitu, mkate, sukari, mafuta, sabuni, ilikuwa lazima kuwahi kupanga foleni kwenye duka la Kaya. Jamaa karudi nyumbani kamkuta mkewe kitandani na mwanaume mwingine, jamaa akaja juu sana, “We mwanamke vipi? Unapoteza muda wako hapa wakati wenzio wamepanga foleni ya mgao wa sukari, hebu vaa kawahi foleni’

Comments