HATUPIMI BANDO

3 July 2012

Afande kawaaresti kuku

Afande alikuwa na bonge ya njaa, na kila mwananchi alikuwa akifuata sheria vizuri kukakosekana hata wa kumkamata atoe rushwa. Afande akapita karibu na jamaa anakaanga chips ute ukimtoka akiangalia kuku walivyonona, muuza chips akamuona akishangaa;
MUUZA CHIPS: Vipi afande unataka chips?
AFANDE: Hivi hawa kuku kwanini wanakaa uchi hadharani? Mimi nawa aresti wakajieleze kituoni

1 comment:

Nyemo The Writter said...

Njaa hizo bhana...hahahahaha