PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Umebugi step


Devi kaenda kwa mtabiri akamuangalie mambo yake.
MTABIRI: Fungua kiganja nikusome, okay hapa inaonekana una watoto wawili
DEVI: Hapo umebugi step mimi na mke wangu tuna watoto watatu
MTABIRI: Umebugi wewe, mi naona una watoto wawili. Muulize vizuri mkeo

Comments